Mlima Tapuaenuku
Mandhari
Mlima Tapuaenuku ni mlima wa New Zealand wenye kimo cha mita 2,884 juu ya usawa wa bahari.
Ndio mrefu kuliko yote ya nchi hiyo nje ya Alpi ya kusini.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|