Mlima Ruapehu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlima Ruapehu ni mlima wa New Zealand wenye kimo cha mita 2,797 juu ya usawa wa bahari.

Ndio mrefu kuliko yote ya kisiwa cha kaskazini.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.