Nenda kwa yaliyomo

Mlima Tititea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Tititea

Mlima Tititea ni mlima wa New Zealand wenye kimo cha mita 3,033 juu ya usawa wa bahari.

Kama milima yote 30 mirefu zaidi ya nchi hiyo, uko katika kisiwa cha kusini.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.