Orodha ya lugha za Singapuri
Mandhari
Orodha hii inahusu lugha za Singapuri:
- Kibengali
- Kigujarati
- Kihakka ya Kichina
- Kihindi
- Kiingereza
- Kijava
- Kimadura
- Kimalay
- Kimalayalam
- Kimalay ya Baba
- Kimalay Sanifu
- Kimandarin ya Kichina
- Kimin-Bei ya Kichina
- Kimin-Dong ya Kichina
- Kimin-Nan ya Kichina
- Kiorang-Seletar
- Kipanjabi-Mashariki
- Kipu-Xian ya Kichina
- Kisindhi
- Kisingapuri ("Singlish")
- Kisinhala
- Kitamil
- Kitelugu
- Kiyue ya Kichina