Kimin-Nan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimin-Nan ya Kichina)

Kimin-Nan ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wahan. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimin-Nan nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu milioni 25.7. Pia kuna wasemaji katika nchi zifuatazo: 13,100 nchini Brunei (2006), 77,600 ndani ya Hong Kong (2006), milioni 15 nchini Taiwan (1997), 700,000 nchini Indonesia (1982), 2,660,000 nchini Malaysia (2000), 592,000 nchini Ufilipino (1982), 333,000 nchini Singapuri (2010), na 1,080,000 nchini Uthai (1984). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimin-Nan iko katika kundi la Kichina.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimin-Nan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.