Kiorang-Seletar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiorang-Seletar ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia na Singapuri inayozungumzwa na Waseletar. Mwaka wa 1986, Waseletar walihamishwa kutoka kisiwa chao cha Seletar; wanaishi katika rasi ya Malaysia siku hizi. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kiorang-Seletar nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu 1250, na wasemaji nchini Singapuri ni 880 tu (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiorang-Seletar iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiorang-Seletar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.