Kimin-Bei
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kimin-Bei ya Kichina)
Kimin-Bei ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wahan. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kimin-Bei nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu milioni 10.3. Pia kuna wasemaji 4000 nchini Singapuri (1985). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimin-Bei iko katika kundi la Kichina.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimin-Bei kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimin-Bei Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimin-Bei katika Glottolog
- lugha ya Kimin-Bei kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimin-Bei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |