Orodha ya lugha za Niger
Mandhari
Orodha hii inaorodhesha lugha za Niger:
- Kiarabu
- Kidazaga
- Kifaransa
- Kifulfulde
- Kigourmanchema
- Kihausa
- Kikanuri-Bilma
- Kikanuri-Kati
- Kikanuri-Manga
- Kikanuri-Tumari
- Kitagdal
- Kitamahaq
- Kitamajaq-Tawallammat
- Kitamajeq-Tayart
- Kitasawaq
- Kitedaga
- Kizarma