Kitamahaq

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitamahaq ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Algeria, Libya na Niger inayozungumzwa na Watuareg. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kitamahaq nchini Algeria imehesabiwa kuwa watu 25,000. Pia kuna wasemaji 17,000 nchini Libya (2006) na 20,000 nchini Niger (1998). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitamahaq iko katika kundi la Kiberber.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitamahaq kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.