Nenda kwa yaliyomo

Kitamajeq-Tayart

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitamajeq-Tayart ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Niger inayozungumzwa na Watuareg. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitamajeq imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitamajeq iko katika kundi la Kiberber.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitamajeq-Tayart kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.