Kizarma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizarma ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Niger inayozungumzwa na Wazarma. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kizarma nchini Niger imehesabiwa kuwa watu 2,350,000. Pia kuna wasemaji 87,800 nchini Nigeria na wasemaji wachache nchini Mali na Burkina Faso. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizarma iko katika kundi la Kisahara ya Mashariki; tena kiko karibu na Kisongai.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizarma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.