Kikanuri-Tumari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikanuri-Tumari ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Niger inayozungumzwa na Wakanuri. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitumari imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitumari iko katika kundi la Kisahara.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikanuri-Tumari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.