Orodha ya Vyuo Vikuu vya Norwei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hii ni orodha ya Vyuo vikuu katika nchi ya Norwei kwa sasa na inaeleza mahali vinapopatikana, ufupisho wa majina na miaka ya uasisi. Vyuo Vikuu vyote vya Norwei ni vya umma. Hamna Vyuo vya kibinafsi kama ilivyo Uropa.

Vyuo Vikuu[hariri | hariri chanzo]

 • Chuo Kikuu cha Oslo (UiO) (Oslo) (Chuo Kikuu cha kwanza nchini) (Kiliasisiwa mnamo. 1811)
 • Chuo Kikuu cha Bergen (UiB) (Bergen) (Kiliasisiwa mnamo 1948)
 • Chuo Kikuu cha Tromsø (UiT) (Tromsø) (Chuo Kikuu kilimo katika eneo la kaskazini kabisa ulimwenguni) (Kiliasisiwa mnamo 1972)
 • Kinorwe Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (NTNU) (Trondheim) (estb. 1996; koncentrationen ya Norwegian Institute of Technology (NTH), estb. 1910 na Chuo Kikuu cha Trondheim, estb.• Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Norwe (Trondheim) (Kiliasisiwa 1996; Kiliunganishwa na Taasisi ya Teknolojia ya Norwe (NTH), iliyoasisiwa mnamo 1910 na Chuo kikuu cha Trondheim, kilichoasisiwa mnamo 1968)
 • Chuo Kikuu cha Sayansi ya Uhai cha Norwe (UMB) (Ås) (Kiliasisiwa 1859, Kikawa Chuo Kikuu kuanzia mwaka wa 2005; awali kilikuwa Chuo cha Kilimo cha Ås)
 • Chuo Kikuu cha Stavanger (UiS) (Stavanger) (Kilisisiwa mnamo 2005; awali kilijulikana kama Chuo Cha Stavanger)
 • Chuo Kikuu cha Agder (UiA) (Kiliasisiwa 2007; awali kilijulikana kama Chuo Cha Agder)

Vyuo Vikuu vya Kitaaluma[hariri | hariri chanzo]

 • Chuo cha usanifu Majengo na Usanifu wa Michoro Oslo(AHO) (Oslo)
 • Chuo cha usanifu Majengo na Usanifu wa Michoro Oslo(AHO) (Oslo)
 • Chuo cha Usimamizi cha Norwe (BI) (Oslo) (private)
 • Chuo cha Masomo ya Kiuchumi na Usimamizi wa Biashara cha Norwe (NHH) (Bergen)
 • Chuo cha Sayansi ya Spoti cha Norwe (NIH) (Oslo)
 • Chuo cha Masomo ya Mifugo cha Norwe (NVH) (Oslo)
 • Chuo cha Muziki cha Norwe (NMH) (Oslo)
 • Chuo cha Mafunzo ya dini cha MF Norwe (MF) (Oslo) (private)

Vyuo Vishirikishi vilivyoidhinishwa[hariri | hariri chanzo]

Vyuo Vishirikishi vya Kibinafsi vyenye mitaala iliyoidhinishwa[hariri | hariri chanzo]

Vyeo Vya Vyuo Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

(Kulingana na QS Vyeo vya vyuo vikuu duniani):

Chuo Kikuu 2004 2005 2006 2007 2008 2009
Chuo Kikuu cha Oslo(Universitetet i Oslo) 101 138 177 188 177 101
Chuo Kikuu cha Bergen (Universitetet i Bergen) - - - - - 144

NR = hakuna uorodheshaji baada ya 200 bora.

Pia tazama[hariri | hariri chanzo]