Tromsø

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Tromsø

Tromsø ni makao makuu wa Troms, jimbo la Norwei kaskazini.

Una wakazi 72,066 (2015), mbali ya wanafunzi wanaoishi huko wakati wa masomo tu.

Unahesabika kuwa mji ulioko kaskazini kuliko yote duniani, tukiacha ile yenye wakazi chini ya 50,000.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.