Ooooooohhh... On the TLC Tip

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ooooooohhh... On the TLC Tip
Studio album ya TLC
Imetolewa 25 Februari 1992
Imerekodiwa 1991-1992
Aina Hip Hop, New Jack Swing
Urefu 55:23
Lebo LaFace
Mtayarishaji Dallas Austin , Babyface,
Wendo wa albamu za TLC
Ooooooohhh... On the TLC Tip
(1992)
CrazySexyCool
(1994)
Single za kutoka katika albamu ya Ooooooohhh... On the TLC Tip
 1. "Ain't 2 Proud 2 Beg"
  Imetolewa: 1 Februari 1992
 2. "Baby-Baby-Baby"
  Imetolewa: 22 Juni 1992
 3. "What About Your Friends"
  Imetolewa: 28 Oktoba 1992
 4. "Hat 2 Da Back"
  Imetolewa: 1 Februari 1993


Ooooooohhh... On the TLC Tip ni jina la kutaja albamu ya pili ya rapa wa TLC. Hii ipo sawa tu na ile ya kwanza, albamu ina nyimbo kibao za TLC zinazosisitiza mitazamo ya kijamii na siasa kwa ujumla. Albamu ilitakiwa iitwe "Troublesome 21", hiyo 21 inataja umri wa Shakur kwa kipindi hicho. inasimama kama "Never Ignorant Getting Goals Accomplished." Yaani "Mjinga Kamwe Hafanikishi Malengo."

Ilivyotoka tu ikaingia #24 kwenye chati za Billboard 200, albamu hii imeona zaidi mafanikio kuliko hata ile iliotangulia, na kuna tofauti kibao katika utayarishaji ambazo zinaelezeka. Vibao kikali kutoka kwenye albamu hii ni "Ain't 2 Proud 2 Beg" na "Baby-Baby-Baby" na zimefika kiwango cha platinum. Ingawa albamu yenyewe kabisa ilitolewa chini ya LaFace, haki zote kwa sasa zinamilikiwa na Amaru Entertainment, studio inayomilikiwa na Afeni Shakur, mama yake rapa huyu.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

 1. Intro - 0:30
 2. Ain't 2 Proud 2 Beg – 5:36
 3. Shock Dat Monkey – 5:08
 4. Intermission I - 0:19
 5. Hat 2 Da Back – 4:16
 6. Das Da Way We Like 'Em – 5:01
 7. What About Your Friends – 4:53
 8. His Story – 4:22
 9. Intermission II - 0:59
 10. Bad By Myself – 3:55
 11. Somethin' You Wanna Know – 5:43
 12. Baby-Baby-Baby – 5:15
 13. This is How it Should be Done – 4:27
 14. Depend on Myself – 4:11
 15. Conclusion - 0:48