Hat 2 Da Back
Mandhari
“Hat 2 Da Back” | |||||
---|---|---|---|---|---|
“Hat 2 Da Back” cover | |||||
Single ya TLC kutoka katika albamu ya Ooooooohhh... On the TLC Tip | |||||
Imetolewa | 1 Februari 1993 | ||||
Muundo | 12-inch single CD single Cassette single | ||||
Imerekodiwa | 1991-1993 | ||||
Aina | Political Hip hop | ||||
Urefu | 4:16 | ||||
Studio | LaFace | ||||
Mtunzi | TLC | ||||
Mtayarishaji | Stretch | ||||
Mwenendo wa single za TLC | |||||
|
Hat 2 Da Back ni jina la kutaja albamu ya pili ya rapa wa TLC. Hii ipo sawa tu na ile ya kwanza, albamu ina nyimbo kibao za TLC zinazosisitiza mitazamo ya kijamii na siasa kwa ujumla. Albamu ilitakiwa iitwe "Troublesome 21", hiyo 21 inataja umri wa Shakur kwa kipindi hicho. inasimama kama "Never Ignorant Getting Goals Accomplished." Yaani "Mjinga Kamwe Hafanikishi Malengo."