Nenda kwa yaliyomo

Omrit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
omrit

Omrit (Kiebrania: חורבת עומרית, kwa maandiko ya Kilatini: Horvat Omrit), au Khirbat ‘Umayrī (jina la Kiarabu),[1] ni eneo la hekalu la kale la Warumi. Lipo mahali ambapo miteremko ya magharibi ya Uwanda wa Golan hukutana na Bonde la Yordani la Juu, katika eneo lisilo na jeshi la Israel-Syria tangu mwaka 1949.

  1. Hourani, M.M.; Heyda, C.M.; United States Board on Geographic Names; United States. Defense Mapping Agency (1983). Gazetteer of Syria: Names Approved by the United States Board on Geographic Names. Gazetteer (United States Board on Geographic Names). Defense Mapping Agency. uk. 72. Iliwekwa mnamo 2022-05-31. 'Amrit, Horbat : see ' Umayrī , Khirbat
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Omrit kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.