Olgica Batić

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Olgica Batić (alizaliwa 7 Desemba 1981) ni wakili na mwanasiasa kutoka Serbia.Batić Alikuwa Raisi (mnamo mwaka 2011-2017) wa Chama cha Kidemokrasia cha Kikristo (DHSS) na alikuwa mwanachama wa Bunge la Kitaifa la Serbia (mnamo mwaka 2012-2016). Mnamo 2017, DHSS iliunganishwa katika Vuguvugu la Kurejesha Ufalme wa Serbia.

Olgica Batić

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Olgica Batić alizaliwa mnamo Desemba 7, 1981, huko Belgrade baba yake Vladan Batić (mnamo mwaka 1949-2010) alikuwa rais wa Chama cha Kidemokrasia cha Kikristo cha Serbia (DHSS).

Kazi ya kisiasa[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kuhitimu,Batić alijiunga na timu ya wanasheria ya DHSS. Baada ya kifo cha babake mnamo Desemba 29, 2010, katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Kidemokrasia cha Kikristo cha Serbia uliofanyika 3 Septemba 2011, alichaguliwa kuwa rais.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. ДХСС. "Организација". dhss.org.rs. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 September 2014. Iliwekwa mnamo 28 June 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Olgica Batić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.