Ol Doinyo Lengai
Mandhari
(Elekezwa kutoka Oldoinyo Le Ngai)
Ol Doinyo Lengai (maana kwa Kimaasai ni "Mlima wa Mungu") ni mlima wenye asili ya volkeno katika Tanzania ya Kaskazini. Iko takriban km 120 kaskazini-magharibi kwa Arusha na km 25 kusini kwa Ziwa Natron.
Mlima una kimo cha m 2690 juu ya UB.
Ni volkeno ya pekee duniani kutokana na aina ya lava yake inayotoka hali ya kiowevu (majimaji) lakini si moto sana (mnamo 500° - 600 °C).
Ol Doinyo Lengai ililipuka tena kuanzia Machi 2006. Katika mwaka 2007 mlima umesababisha mitetemeko ya ardhi ya mara kwa mara kuanzia tarehe 12 Julai. Tetemeko la tarehe 18 Julai lilisikika hadi Nairobi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Orodha ya volkeno nchini Tanzania
- Orodha ya milima ya mkoa wa Arusha
- Orodha ya milima ya Tanzania
- Orodha ya milima ya Afrika
- Orodha ya milima
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Mlima katika tovuti ya Geonames
- Michael Greshko: 'Mountain of God' Volcano Preparing to Erupt, tovuti ya National geographic, 13 Julai 2017, iliangaliwa Julai 2017
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ol Doinyo Lengai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |