Oda Gasinzigwa
Mandhari
Oda Gasinzigwa (1966) ni mtumishi wa serikali na mwanasiasa kutoka Rwanda. Alizaliwa nchini Tanzania kama mkimbizi, alisoma katika taasisi ya usimamizi wa maendeleo huko Mzumbe kisha akafanya kazi kwa miaka minane katika benki ya taifa ya biashara jijini Dar es Salaam.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Oda Gasinzigwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |