Nenda kwa yaliyomo

Obinna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Obinna ni jina la Kiigbo. Wakati mwingine Obinna huwa ni jina la ukoo. Asili ya jina Obinna ni kutoka kwa jamii ya Igbo iliyoko kusini mashariki mwa Nigeria.Jina Obinna hutumiwa kwa kawaida kuwataja wanaume lakini linaweza kutumiwa na watu wa tamaduni zingine .Tafsiri ya moja kwa moja ya jina Obinna katika lugha ya kiingereza ni, "father's heart". [1] Jina hilo pia linamaanisha "kiti cha enzi cha Baba" kulingana na muktadha. Hii inafafanua zaidi kwa nini ni kawaida jina la wana wa kwanza wa familia za Igbo. Watu mashuhuri walio na jina ni pamoja na:

Jina la kupewa[hariri | hariri chanzo]

 • Obinna Anyanwu, (aliyezaliwa 1983) mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria, anayejulikana kama Waconzy.
 • Obinna Chidoka (aliyezaliwa 1974), mwanasiasa wa Nigeria
 • Obinna Ekezie (aliyezaliwa 1975), mchezaji wa mpira wa vikapu wa Nigeria
 • Obinna Eregbu (aliyezaliwa 1969), mwanariadha wa Nigeria
 • Obinna Eze (aliyezaliwa 1998), mchezaji wa kandanda wa Marekani kutoka Nigeria
 • Obinna Metu (aliyezaliwa 1988), mwanariadha wa Nigeria
 • Obinna Nwachukwu (aliyezaliwa 1992), mwanasoka wa Nigeria
 • Obinna Nwaneri (aliyezaliwa 1982), mwanasoka wa Nigeria
 • Obinna Nwosu (aliyezaliwa 1971), mchezaji wa mpira wa vikapu wa Nigeria, anayejulikana zaidi kama Julius Nwosu
 • Obinna Oleka (aliyezaliwa 1993), mchezaji wa mpira wa vikapu wa Marekani

Jina la ukoo[hariri | hariri chanzo]

 • Mikel John Obi (aliyezaliwa John Michael Nchekwube Obinna mwaka wa 1987), mchezaji kandanda wa Nigeria anayeichezea Chelsea FC.
 • Eric Obinna Chukwunyelu (aliyezaliwa 1982), mwanasoka wa Nigeria anayechezea klabu ya St. George's FC.
 • Victor Nsofor Obinna (aliyezaliwa 1987), mwanasoka wa Nigeria anayechezea SV Darmstadt 98.
 • Ezebuiro Obinna (1947-1999), mwimbaji wa Nigeria

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

 • Obina, jina la utani la mwanasoka wa Brazil Manoel de Brito Filho

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. ""O" Names". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-08-08. Iliwekwa mnamo 2008-08-12.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.