Nenda kwa yaliyomo

Julius Nwosu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Obinna Julius Nwosu (amezaliwa 1 Mei 1971), ni Mnigeria aliyekua mchezaji wa mpira wa kikapu katika chama cha taifa cha mpira wa kikapu akiwa anachezea timu ya San Antonio Spurs.

Julius ana urefu wa futi 6 na inchi 10. Julius alisoma katika shule ya Imo State huko Imo, Nigeria. [1]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-11-21. Iliwekwa mnamo 2019-12-07.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julius Nwosu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.