John Obi Mikel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

John Obi Mikel (au: John Mikel Obi au Mikel John Obi; alizaliwa tarehe 22 Aprili mwaka 1987) ni mchezaji wa soka wa Nigeria ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Uchina iitwayo Tianjin TEDA na timu ya taifa ya Nigeria.

Awali Obi mikel alicheza klabu mbalimbali za Ulaya kama vile Chelsea F.C. alipoweza kucheza kuanzia mwaka 2006 hadi mwaka 2016-17.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Obi Mikel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.