Nyehunge
Mandhari
Nyehunge ni makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa nchini Tanzania.
Buchosa imekuwa wilaya mnamo mwaka 2016. Kwanza ilikuwa sehemu ya wilaya ya Sengerema, mkoa wa Mwanza.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 53,982 [1].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.nbs.go.tz, uk 185
Kata za Wilaya ya Buchosa - Mkoa wa Mwanza - Tanzania | ||
---|---|---|
Bangwe | Bugoro | Buhama | Bukokwa | Bulyaheke | Bupandwa | Iligamba | Irenza | Kafunzo | Kalebezo | Kasisa | Katwe | Kazunzu | Lugata | Luharanyonga | Maisome | Nyakaliro | Nyakasasa | Nyakasungwa | Nyanzenda | Nyehunge |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nyehunge kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |