Wilaya ya Buchosa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wilaya ya Buchosa ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania.

Buchosa imekuwa wilaya mwaka 2016. Kwanza ilikuwa sehemu ya wilaya ya Sengerema, mkoa wa Mwanza.

Makao makuu ya wilaya yako kwenye mji wa Nyehunge.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Kata za Wilaya ya Buchosa

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Buchosa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.