Nenda kwa yaliyomo

Nordi Mukiele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mukiele akiwa na RB Leipzig 2020

Nordi Mukiele Mulere (alizaliwa 1 Novemba 1997)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa na timu ya taifa ya Ufaransa.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-25. Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
  2. "Nordi Mukiele". EN.PSG.FR (kwa Kiingereza). 1997-11-01. Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nordi Mukiele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.