Nenda kwa yaliyomo

Nonso Amadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
NdaniTGIFShow : Nonso Amadi
NdaniTGIFShow : Nonso Amadi

Nonso Amadi (alizaliwa Septemba 1, 1995) ni mwimbaji wa nchini Nigeria, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki. [1]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Nonso Amadi alizaliwa Septemba 1, 1995, kwa wazazi wake nchini Nigeria. Ni wa tatu kati ya familia ya watu saba na alikulia Nigeria kabla ya kuhamia Uingereza .

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Alisomea katika chuo cha Chrisland Idimu, Lagos na kuhitimu mwaka 2009. Alisomea uhandisi wa kemikali katika Chuo Kikuu cha Covenant, na mnamo 2014 aliendelea na masomo yake katika Chuo Kikuu cha Swansea Uingereza. Ana shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha McMaster, Kanada . [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ekemezie, Henry. "Singer, Nonso Amadi drops video for No Crime | The Guardian Nigeria News - Nigeria and World NewsSaturday Magazine — The Guardian Nigeria News – Nigeria and World News". Guardian.ng. Iliwekwa mnamo 2019-05-25.
  2. "The new promising voice of alternative music, Nonso Amadi". www.pulse.ng. 30 Aprili 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nonso Amadi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.