Nkuhungu
Nkuhungu ni kata iliyopo katika wilaya ya Dodoma mjini yenye postikodi namba 41117[1]. Jina Nkuhungu linatokana na lile la jamii mojawapo ya kabila la Wagogo.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nkuhungu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-09-23.