Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Mandhari
Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kwa Kiingereza Order of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere) ni tuzo ya heshima zaidi nchini Tanzania.[1]. Tuzo hiyo ilipewa jina hilo ili kumuenzi rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Tuzo hiyo ilianzishwa na Jakaya Mrisho Kikwete mnamo Desemba 2011, wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara, ambayo kabla ya hapo ilikuwa ikijulikana kama Tanganyika.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |