Nikola Jokić
Mandhari
Nikola Jokić (kwa Kiserbia: Никола Јокић, inatamka [nǐkola jôkitɕ]; alizaliwa Februari 19, 1995) ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutoka Serbia ambaye ni mchezaji wa kati anaeichezea timu iitwayo Denver Nuggets ya Chama cha Kikapu wa kikapu Marekani (NBA). Ni NBA All-Star mara tano, ametajwa kwenye Timu ya All-NBA mara tano (pamoja na chaguo mara tatu za timu ya kwanza), na alishinda Tuzo ya Mchezaji wa Thamani Zaidi wa NBA kwa misimu ya 2020-21 na 2021-22.[1][2] Anawakilisha timu ya taifa ya mpira wa kikapu ya Serbia ambayo alishinda nayo medali ya fedha kwenye michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya 2016.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Denver Nuggets' Nikola Jokić named NBA's Most Valuable Player". www.nba.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-06-16.
- ↑ "Nuggets' Nikola Jokic wins 2021-22 Kia Most Valuable Player award". NBA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-06-16.