Denver Nuggets

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Denver Nuggets ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Denver, Colorado. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Chauncey Billups.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Denver Nuggets kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.