Nenda kwa yaliyomo

Niko Bize

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Niko Bize”
Single ya Jahffarie
kutoka katika albamu ya Niko Bize
Imetolewa Februari, 2003
Muundo CD
Imerekodiwa 2002
Aina Hip hop
Studio Bongo Records
Mtunzi Jahffarie
Daz Baba
Mtayarishaji P Funk
Mwenendo wa single za Jahffarie
"Watu Kibao" (2002) "Niko Bize" (2003) "Anajua Anachotaka" (2003)

Niko Bize ni wimbo wa Jahffarie akimshirikisha Daz Baba. Wimbo unatoka katika albamu ya Niko Bize. Wimbo ulitayarishwa na P Funk Majani wa bongo Records. Wimbo ulitoka mnamo mwaka wa 2003 ukiwa na chati kadhaa za Redio One, Clouds FM, Times FM, Magic FM na nyingine kibao.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Niko Bize katika YouTube

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Niko Bize kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.