Jahffarie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jahffarie
Jina la kuzaliwa Japhari Msham Ally
Pia anajulikana kama Jahffarie
Amezaliwa 29 Septemba 1980 (1980-09-29) (umri 43)
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Mwimbaji
Mwigizaji
Ala Sauti
Miaka ya kazi 1998-hadi leo
Studio Bongo Records
Mj Records
Ame/Wameshirikiana na Jay Moe
Daz Baba
Mchizi Mox
Mc 2 B.
Solo Thang
Q Chillah
Mc Dizzo

Japhari Msham Ally (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Jahffarie; amezaliwa 29 Septemba 1980) ni msanii wa muziki wa Hip hop na Bongo Flava kutoka nchini Tanzania.

Anafahamika zaidi kwa baadhi ya vibao vyake mashuhuri kama vile Niko Bize, Anajua Anachotaka, Hawapendi, n.k. Jahffarie pia ni mmoja katika ya wanakundi la muziki wa hip hop na rap la Wateule.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jahffarie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.