Nenda kwa yaliyomo

Nikki wa Pili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nikki wa Pili
Jina la kuzaliwaNickson John Simon
AmezaliwaArusha, Tanzania
Kazi yake

Nickson John Simon, anayejulikana zaidi kwa jina la Nikki wa Pili[1], ni rapa kutoka Tanzania na mwanasiasa ambaye kwa sasa anahudumu kama mkuu wa wilaya ya kibaha.[2][3]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Nyimbo

  • Good Boy Ft Lamar Dee
  • Hesabu Ft Joh Makini, S2kizzy
  • Kihasara Ft Chin Bees
  • Sweet Mangi ft Chin Bees
  • Mawindo
  • Quality Time Ft G Nako
  • Kanifuata Ft Jux

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "NIKKI WA PILI : Zaidi ya mwanamuziki". Mwananchi. Iliwekwa mnamo 2015-08-16.
  2. "Nikki wa Pili appointed district commissioner in Tanzania". Music in Africa (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-06-22.
  3. "Nikki Wa Pili Aapishwa Kuwa Mkuu Wa Wilaya Kisarawe-Picha". Global Publishers. Iliwekwa mnamo 2021-06-21.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nikki wa Pili kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.