Nenda kwa yaliyomo

Mkuu wa wilaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkuu wa wilaya ni kiongozi mkuu wa serikali katika wilaya.

Jukumu la kiutawala la Mkuu wa Wilaya ni kuhakikisha kwamba mifumo ya utawala katika wilaya yake inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi.

Kwa Tanzania kiongozi huyo huteuliwa na Rais. Ndiye mwakilishi wa Rais katika wilaya.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

[1]

  1. http://urbanlex.unhabitat.org/sites/default/files/urbanlex//tz_regional_administration_act_1997.pdf