Nieky Holzken

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Niek Holzken
Nieky Holzken mwaka 2016.

Nicolaas "Nieky" Holzken (alizaliwa 16 Desemba 1983 huko Beek en Donk) ni Mholanzi mpiganaji wa ngumi na mateke. Tangu mwaka 2015 ni bingwa wa dunia katika uzito wa katikati katika kiwango cha ndondi kinachoanzia kilo 63.5-67. .

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nieky Holzken kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.