Nenda kwa yaliyomo

Niclas Füllkrug

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Füllkrug akichezea Werder Bremen mnamo 2021

Niclas Füllkrug (alizaliwa 9 Februari 1993)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Niclas Füllkrug kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.