Nenda kwa yaliyomo

New South Wales

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jervis Bay kusini mwa New South Wales
Palipo na doa jekundu ndiyo ukubwa wa eneo la New South Wales.

Welisi Mpya Kusini (English: New South Wales) ni moja kati ya majimbo ya Australia. Pia ni moja kati ya majimbo makongwe katika Australia. Kati ya majimbo yote ya Australia, New South Wales ndiyo inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu. Mji mkuu wa New South Wales ni Sydney. Sydney ni mji mkubwa kabisa katika Australia.

Mji wa Sidney ulianzishwa mnamo mwaka 1788 kama kituo cha wafungwa kutoka Uingereza waliopelekwa hapa badala ya magereza ya nyumbani.

Wakazi wa New South Wales wanaitwa Wawelsh au Welshman (Kiing.

Jina la jimbo limetokana na mpelelezi Mwingereza James Cook aliyekuwa Mzungu wa kwanza wa kupitia pwani hili na na kulitolea jina la "New South Wales" kwa heshima ya Welisi ambayo ni nchi jirani ya Uingereza ndano ya Ufalme wa Muungano kwenye kisiwa cha Britania.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]


Pacific Motorway (Sydney–Newcastle) at Berowra

Barabara

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu New South Wales kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Majimbo na maeneo ya Australia
Bandera ya Australia
Australia Kusini | Australia ya Magharibi | Australian Capital Territory | New South Wales | Northern Territory | Queensland | Tasmania | Victoria