Need for Speed: Carbon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Need for speed carbon
Need for speed carbon

Need for speed: Carbon ni mchezo wa mashindano na Sanaa ya Maandishi ambayo ni ya mfululizo wa Need for Speed. Ni mchezo wa 12 katika mfululizo wa Need for Speed na inapatikana kwenye mifumo mingi ya michezo kama vile PlayStation 2, PlayStation 3, Xbox, Xbox 360, GameCube, Wii na kompyuta.

Uchezaji wa mchezo[hariri | hariri chanzo]

Need for speed Carbon ni kama Need for speed: Most wanted lakini mabadiliko makubwa ni kuongezwa kwa wakati wa usiku katika mchezo.