Nenda kwa yaliyomo

Natsumi Asano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Natsumi Asano (alizaliwa 14 Aprili 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama golikipa wa klabu ya Chifure AS Elfen Saitama inayoshiriki Ligi ya wanawake ya WE . [1][2]

  1. "Scoresheet" (PDF). weleague.jp.
  2. "golikipa".
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Natsumi Asano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.