Nadine Angerer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nadine Marejke Angerer (alizaliwa 10 Novemba 1978) ni mkufunzi wa mpira wa miguu wa Ujerumani ambaye ni mkufunzi wa mchezaji Portland Thorns wa ligi ya soka ya wanawake (NWSL). [1]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Angerer alizaliwa huko Lohr am Main, karibu na Frankfurt. Kazi yake ya soka alianza na klabu ya ASV Hofstetten, ambapo alicheza kama mshambuliaji. [2] Alipochukua nafasi ya kipa aliyejeruhiwa wakati wa mchezo wa skauti ya vijana, aligunduliwa kuwa ana kipaji cha ukipa. Mnamo 1995, alihamia 1. FC Nürnberg na mwaka mmoja baadae akahamia klabu ya FC Wacker München . Akiwa Wacker, alikataa nafasi ya kuchezea timu ya soka ya chuo kikuu cha Marekani. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Eckerstrom, Thorns cause nightmares for Courage in NWSL Challenge Cup victory", Portland Timbers. 
  2. "Nadine Angerer". UEFA. 11 Septemba 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Januari 2016. Iliwekwa mnamo 27 Juni 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Career". Angerer-Nadine.de. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Juni 2015. Iliwekwa mnamo 27 Juni 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nadine Angerer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.