Mzwakhe Mbuli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mzwakhe Mbuli (amezaliwa 1 Agosti 1959) ni mshairi wa Afrika Kusini, mwimbaji wa Mbaqanga na Shemasi wa zamani katika Kanisa la Apostolic Faith Mission huko Naledi Soweto, Afrika Kusini. Anajulikana kwa jina la "The People's Poet, Tall Man, Mbulism, The Voice Of Reason", ni baba wa Mzwakhe Mbuli Junior, anayejulikana pia kwa jina la Robot_Boii.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa Sophiatown, na muda mfupi alihama baada ya familia yake kulazimishwa kuhamia Soweto wakati serikali ilipoudhulumu mji wake wa nyumbani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]