Mwananchi (gazeti)
Mandhari
Mwananchi | |
---|---|
Jina la gazeti | Mwananchi |
Nchi | Tanzania |
Mchapishaji | Mwananchi Communications Ltd |
Makao Makuu ya kampuni | Dar es Salaam |
Tovuti | http://www.mcl.co.tz/ |
Mwananchi ni gazeti kutoka Dar es Salaam, nchini Tanzania. Linatolewa kila siku kwa lugha ya Kiswahili na kampuni ya Mwananchi Communications Ltd. inayotoa pia magazeti ya Mwanaspoti na The Citizen (kwa Kiingereza).
Kampuni yake ni sehemu ya kampuni kubwa ya Nation Media Group ya Nairobi, Kenya.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |