Mwambaa biringizi

Mchoro wa mwambaa biringizi.
Katika utarakilishi, mwambaa biringizi (kwa Kiingereza: "scroll bar" au "scrollbar") ni kifaa michoro kinachodhibiti eneo la mwono la kiolesura michoro cha programu.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).