Muza
Mandhari
Muza ni miungu wa kike wa ushairi, nyimbo na fasihi katika mitholojia ya Kigiriki.
Alama za Muza
[hariri | hariri chanzo]Jina la Kigiriki | Muza | Mamlaka | Alama |
---|---|---|---|
Καλλιόπη, Kalliópē | Kaliopa | Ushairi wa utenzi | Kibau cha kuandikia |
Κλειώ, Kleiṓ | Klio | Historia | Magombo |
Ἐρατώ, Erató | Erato | Ushairi wa upendo | Sithara (ala ya muziki ya Ugiriki ya Kale kama kinubi) |
Eὐτέρπη, Eutérpē | Euterpa | Ushairi wa nyimbo | Aulo (ala ya muziki ya Ugiriki ya Kale kama filimbi) |
Μελπομένη, Melpoménē | Melpomena | Ushairi wa msiba | Kinyago cha msiba |
Πολυύμνια, Polyýmnia | Polihimnia | Ushairi wa dhati | Shela |
Τερψιχόρη, Terpsikhórē | Terpsikhora | Wimbo na kucheza | Lira (ala ya muziki ya Ugiriki ya Kale kama kinubi) |
Θάλεια, Tháleia | Thalia | Ushairi wa futuhi | Kinyago cha futuhi |
Οὐρανία, Ouranía | Urania | Falaki | Dunia na bikari |
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |