Nenda kwa yaliyomo

Mustafa Al-Bassam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mustafa Al-Bassam

Picha ya Mustafa Al-Bassam
Amezaliwa Mustafa Al-Bassam
1 Januari 1995 (1995-01-01) (umri 29)
Iraq
Kazi yake Mdukuzi, mtafiti wa usalama wa mifumo ya kompyuta


Mustafa Al-Bassam (amezaliwa Januari 1995) ni mtafiti wa usalama wa kompyuta na mdukuzi wa Uingereza.

Alikuwa mmoja wa waanzillishi wa kikundi cha udukuzi cha LulzSec mnamo mwaka 2011 ambacho kilihusika na udukuzi kadhaa katika makampuni yenye nyadhifa kubwa.[1][2]

Baadaye aliendelea kuwa mmoja wa waanzilishi wa Chainspace, kampuni iliyokuwa ikitengeneza mtandao wa kutengeneza mikataka, ambayo ilinunuliwa na Facebook mnamo mwaka 2019.[3][4] Hivi sasa ni mwanafunzi wa PhD katika Kikundi cha utafiti wa usalama wa taarifa katika Chuo cha University College London. Forbes ilimworodhesha Al-Bassam kama mmoja wa wajasiriamali 30 chini ya umri wa miaka 30 katika teknolojia mnamo mwaka 2016.

Maisha ya hapo awali

[hariri | hariri chanzo]

Al-Bassam alizaliwa Baghdad, Iraq mnamo Januari 1995, na alihamia mjini London, Uingereza akiwa na miaka mitano.[5] Alipokea shahada ya kwanza ya Sayansi ya Kompyuta kutoka Chuo cha King's College London.[6] na kwa sasa ni mwanafunzi wa PhD katika Chuo cha University College London.[7]

  1. Coleman, E. Gabriella (2014). Hacker, hoaxer, whistleblower, spy: the many faces of Anonymous (kwa English). ISBN 978-1-78168-583-9. OCLC 890807781.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. Adi Robertson (2013-05-16). "LulzSec hackers sentenced to between one and three years in prison by UK court". The Verge (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-02-19.
  3. Field, Matthew (2019-06-26), "The tiny UK start-up founded by UCL scientists now at the heart of Facebook's Libra currency", The Telegraph (kwa Kiingereza (Uingereza)), ISSN 0307-1235, iliwekwa mnamo 2020-02-19
  4. "Facebook Makes First Blockchain Acquisition With Chainspace: Sources". Cheddar (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-02-19.
  5. Miller, Carl (2018). The death of the gods: the new global power grab (kwa English). ISBN 978-1-78515-133-0. OCLC 1051237704.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  6. "Cyber defence unit 'may use hackers'", BBC News (kwa Kiingereza (Uingereza)), 2013-10-22, iliwekwa mnamo 2020-02-19
  7. David Braue (2019-06-14). "Despite high-profile hacks, companies still aren't behaving securely: ex-LulzSec hacker". CSO Online (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-19. Iliwekwa mnamo 2020-02-19. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mustafa Al-Bassam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.