Mdukuzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa wadukuzi.

Katika utarakilishi, mdukuzi (kutoka kitenzi kudukua; kwa Kiingereza: computer hacker) ni mtu anayetumia maarifa yake ya kiufundi ili kuvunja na kudukua mifumo ya tarakilishi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]