Murray Campbell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Murray Campbell ni mwanasayansi wa kompyuta kutoka nchini Kanada anayejulikana kuwa sehemu ya timu iliyounda Deep Blue, kompyuta ya kwanza kumshinda bingwa wa dunia wa chess.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Campbell alihusika katika miradi ya ufuatiliaji inayohusiana na uzalishaji wa mafuta ya petroli, milipuko ya magonjwa, na mifumo ya kifedha.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Distinguished ACM Speaker: Murray Campbell. Dsp.acm.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-02-20. Iliwekwa mnamo 2012-03-12.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Murray Campbell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.