Munit Mesfin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Munit Mesfin (amezaliwa 1981)[1] ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Ethiopia anayejulikana kwa kufanya kazi na mwimbaji wa Kijerumani na mpiga gitaa ӧ Jrg Pfeil.[2] Munit anaimba kwa lugha yake ya Kihabeshi na Kiingereza, kwa msukumo kutoka kwa nyimbo za jadi za Ethiopia. [3] Mesfin analenga masuala ya kijamii na uwezeshaji wa wanawake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Munit Mesfin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.