Mtungule
Jump to navigation
Jump to search
Mtungule (Solanum lycopersicum var. cerasiforme) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Mtungule
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mtungule au mnyanya-cheri (Solanum lycopersicum var. cerasiforme) ni namna fulani ya mnyanya katika familia Solanaceae. Matunda yake huitwa matungule au nyanya-cheri na haya ni madogo kuliko nyanya za kawaida na yana umbo la mviringo au la pea. Hutumika sana katika saladi au kwa kula peke yao.